Wapendwa wajumbe, baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi kwa bidii na kujitolea, ninayo furaha kubwa kutangaza rasmi uzinduzi wa tovuti yetu. Uzinduzi huu ni ushuhuda kwamba EAPCCO iko hai na yenye nguvu nyingi…
Nafurahia kuwakaribisha wageni wote katika tovuti ya Shirika la Ushirikiano wa Wakuu wa Polisi la Afrika Mashariki [Eastern Africa Police Chiefs Cooperation Organization (EAPCCO)]….