Kuhusu EAPCCO

Shirika la Ushirikiano wa Wakuu wa Polisi la Afrika Mashariki [Eastern Africa Police Chiefs Cooperation Organization (EAPCCO)] ni shirika la polisi la kikanda ambalo wanachama wake ni Wakuu wa Polisi katika nchi 14. Lilianzishwa mnamo 1998 kwa lengo la kuoanisha, kuimarisha ushirikiano wa polisi na mikakati ya pamoja, kusambaza habari zinazohusiana na uhalifu na kuoanisha sheria ili kuongeza uwezo wa Mashirika ya Utekelezaji wa Sheria kupambana na uhalifu wa kimataifa….Soma Zaidi

Vidokezo
Ujumbe Kutoka Kwa Kiongozi Wa Ofisi Ya Kikanda Na Mkuu Mtendaji Wa Ofisi Ya EAPCCO

Nafurahia kuwakaribisha wageni wote katika tovuti ya Shirika la Ushirikiano wa Wakuu wa Polisi la Afrika Mashariki [Eastern Africa Police Chiefs Cooperation Organization (EAPCCO)]…Soma Zaidi

Matangazo
red-notice-154x232
Matangazo Mekundu (Ya Watu Wanaotafutwa)

Angalia na tafuta matangazo ya rangi nyekundu kuhusu watu wanaotafutwa

yellow-notice-154x232
Matangazo Ya Manjano (Watu Waliopotea)

Angalia Matangazo ya manjano (watu waliopotea)