Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
Hotuba ya mwenyekiti kuhusu tukio la uzinduzi wa tovuti ya EAPCCO
Wapendwa wajumbe, baada ya miezi kadhaa ya kufanya kazi kwa bidii na kujitolea, ninayo furaha kubwa kutangaza rasmi uzinduzi wa tovuti yetu. Uzinduzi huu ni ushuhuda kwamba EAPCCO iko hai na yenye nguvu nyingi...Soma zaidi »Ujumbe Kutoka Kwa Kiongozi Wa Ofisi Ya Kikanda Na Mkuu Mtendaji Wa Ofisi Ya Eapcco
Nafurahia kuwakaribisha wageni wote katika tovuti ya Shirika la Ushirikiano wa Wakuu wa Polisi la Afrika Mashariki [Eastern Africa Police Chiefs Cooperation Organization (EAPCCO)]....Soma zaidi »