Bodi ya wakurugenzi ya upelelezi wa uhalifu inapokea vifaa vya kupigana dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu ya Kenya

Home/News/Bodi ya wakurugenzi ya upelelezi wa uhalifu inapokea vifaa vya kupigana dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu ya Kenya

Nairobi (Kenya), Disemba 14 – Twashukuru kwa ufadhili kutoka kwa Wizara ya Shirikisho ya Ujerumani ya Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo [German Federal Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ)] na ufadhili kwa Afrika wa dharura wa Umoja wa Uropa [European Union (EU) Emergency Trust Fund for Africa (EUTF)], UNODC hivi majuzi ilipeana magari matano, jenereta moja na vifaa vingine, ikiwa ni pamoja na vifaa vya uchunguzi wa kiteknolojia vya kidijitali, kwa kitengo dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu na ulinzi wa watoto [Anti-Human Trafficking & Child Protection unit (AHTCPU)] cha bodi ya wakurugenzi wa upelelezi wa uhalifu ya Kenya [Kenya Directorate of Criminal Investigations (DCI)]

Kila mwaka, Kenya iko na maelfu wa watu wakiume, wake na watoto wanaokuwa wahasiriwa wa makundi ya usafirishaji haramu wa binadamu na mashirika ya uhamiaji wa kimagendo, na wanapitia ukatili, dhulma za kimapenzi, hali za kufanya kazi kama watumwa na unyanyasaji mwengine, na hii inafanya kuwe na umuhimu wa kuhakikisha kwamba vitengo dhidi ya usafirishaji haramu wa binadamu viko na uwezo wa kushughulikia changamoto za usafirishaji haramu wa watu [Trafficking in Persons (TIP)]na uhamiaji wa kimagendo [Smuggling of Migrants (SOM)].